WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

tangu muanze kuchat cjawahi kuona mtu ameomba kubadilishana kwa kutaja mkoa wa kigoma...inamana. amna wazaliwa wa huku ?????au ni makusudi???????
 
Mimi mwalim wa sekondar mkoa wa rukwa wilaya ya nkasi nahtaji kubadlshana na mwalm yeyote alye mkoa wa irnga,mkoa wa njombe alye tayar tuwacliane kwa namba hii 0762327379.
 
Ndugu zanguni kama kuna m2 anajua utaratibu naomba anijuze(Kama tamisemi wame2ma barua ya uhamisho wilayani na ikapotea je unaweza kufanya utaratibu gani?)
 
Kuna ndugu yangu YUPO ARUSHA MANISPAA SECONDARY Anataka kubadilishana na MTU ALIYE DAR ES SALAAM SECONDARY...Kama kuna aliye tyr niPM..
 
Wapigie simu tamisemi uwaeleze. Barua inapotea! Ni uzembe. Imepotelea wapi/mikononi mwa nani? Ikiwezekana fika tamisemi utapewa nyingine
 
Nipo TANGA Anayetaka kurudi kwao TANGA Namimi nirudi kwetu IRINGA basi anitafute kwa simu 0768142527. Fanyia kazi karibu na nyumbani ili ufanikiwe kujiweka tayari na maisha ya kutaafu.
 
Kama upo PWANI,KIBAHA,MOR CHALINZE,AU IRINGA njoo TANGA Mm nijehuko. kama upo tayari nicheki kwa 0768142527
 
Nipo TANGA Anayetaka kurudi kwao TANGA Namimi nirudi kwetu IRINGA basi anitafute kwa simu 0768142527. Fanyia kazi karibu na nyumbani ili ufanikiwe kujiweka tayari na maisha ya kustaafu.
 
Nipo TANGA Mwl; idara msingi Anayetaka kurudi kwao TANGA Namimi nirudi kwetu IRINGA basi anitafute kwa simu 0768142527. Fanyia kazi karibu na nyumbani ili ufanikiwe kujiweka tayari na maisha ya kustaafu.
 
Nipo singida(iramba) idara ya sekondari, kwa aliye tayari tubadilishane kutoka arusha vijijini au meru district tuwasiliane kwa 0757606552,
 
Mwl MWENZETU YUPO SERENGETI-MARA ANAHITAJI KUHAMIA KWAO RUVUMA-SONGEA AU MBINGA tumia na hii 0756231236 nikuunganishe nae idara sec.
 
Nahitaji wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara ya msingi kutoka mwanza,moro au kibaha nae aje bunda mkoa wa mara.mawacliano 0759000761
 
Nipo Kilwa Masoko natafuta mwalimu wakubadilishana kituo idara Sekondari awe anatokea Singida,Kimanjaro, au Tanga, No 0688170924
 
du tatizo bagamoyo kubwa tungekamilisha deal ila naogopa nisije nikawa sijafanya kitu mi nipo moro manispaa upo shule gani mkuu

Nimekusoma mdau naomba namba zako ili 2ongee vzur na swala la ww kuja nakotoka mm co lazma
 
Back
Top Bottom