WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi mwl nicholaus wa sekondari nipo nachingwea mjini natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aliyoko MBEYA sehemu yeyote au njombe mjini au morogoro mjini. mawasiliano zaidi 0785805309. Atakae kuwa tayari kuna vifaa vya ndani atawe bure.
 
Mwl osward wa gairo sec anataka kuhamia Kibaha, dar au kisarawe mtafte kupitia 0767254558
 
Mwl Anna George yupo Wilaya ya Rorya kyang'ombe sec anataka kuhamia Tmk, ilala, kinondoni, au mkuranga! Wajaruo, wasimbiti hamtaki kurudi kwenu? Nicheki kwenye 0683900853
 
Mwl yupo Iringa~ Kilolo anataka kwenda Bagamoyo, mkuranga au Pwani yeyote mcheki kupitia 0759282829
 
Anayehitaji kubadilishana mimi ninafundisha mbozi nahitaji kubadilishana na mwalimu yeyote wa wilaya ya mufindi(idara ya msingi)-0755814442,0658814442
 
kweli kuna mikoa inapendwa na walimu wenzangu, ukipitia humu...utagundua

1. MOROGORO
2. DAR (TEMEKE, KINO NA ILALA)
3. PWANI
4. MKURANGA

Duuuh na pwan mkuranga ni sababu ipokaribu na dar ila nyinyi nahis wengi mkuranga hamuijui....kuna chemba izo hazina hata umeme, dont think of mkuranga ya St mathew hapa.

pwani...wengi wanahis pwani ni ruvu, kibaha, picha ya ndege, kongowe na kando ya barabara ya moro dar. ni mtazamo tu kazi iendeleee
 
Wadua aliyeko Karatu anataka kuja Mkuranga acheck na mie....

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Anayehitaj kuja musoma municipal tubadilshane na MTU akitokea singida mjin; Dodoma min au morogoro mjin! Tuwasiliane 0713347911
 
Nipo TANGA wilaya ya KILINDI anayetaka kurudi kwao tanga na mimi nirudi kwetu IRINGA anicheki kwa 0768142527 idara msingi
 
nipo wilaya ya MPWAPWA_DODOMA anayetaka tubadilshane atoke mkoa wa KILIMANJARO wilaya Yoyote,MOROGORO mjini,bagamoyo,chalinze au wilaya ya ARUMERU,DSM, (IDARA YA MSINGI) anitafute hapa 0784051231 tufanye biashara
 
Nipo bwiru boys sec. (Ilemela) Mwanza nataka wa kubadilishana toka Ilala au kinondoni - DSM
 
Back
Top Bottom