WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Kwa yeyote anayependa kwenda kufundisha wilaya ya nachingwea mkoa wa lindi, tuwasiliane kwa 0782427055
Ningependa maeneo ya wilaya zifuatazo; masasi, newala, wilaya zote mkoa wa pwani.
sababu za kubadilisha kituo,
1. kubadili mazingira
2. kuongeza jografia
 
Jaman hamtaki kurudi kiomboi singida iramba?nipo wilayan hebu njon nirud namie home kwe2 kilimanjaro wilaya yoyote idara sekondar contact 0653369940 nipo seriously

mi nataka ila nipo Mbinga Ruvuma 0765070911
 
Kama kuna mwalimu yeyote wa sekondari anataka kuja mtwara mjini kutoka dar es salaam, namuhitaji haraka vigezo atoke dar sehemu yoyote i.e ilala, temeke au kinondoni. Shule ipo mtwara manispaa na ina school bus ya mbunge, kwa aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0785 28 48 56! Hata sms unaweza kutuma,
 
wewe ni mwalimu (msingi, sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na jamiiforums ni kwa pm (private messages) ndani ya jf - kwa usalama wako na usiri zaidi.

Tunakutakieni utumishi mwema.

Jamiiforums

Mimi mwalimu wa sekondari nipo Halmashauri ya Mji Mpanda, atakayekuwa tayari kubadilishana, kati ya Nzega au Shinyanga Mjini, PIGA 0712910730.
 
NATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAYE TOKA MBEYA WILAY YA RUNGWE,MBALAL AU KYELA NIPO MORO KILOSA BARA2 kuu to dodoma 0789599055 idara sec
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari katika Halmashauri ya Mji Mpanda, atakayekuwa tayari kubadilishana kituo cha kazi, kutoka Nzega mjini au Shinyanga mjini. Piga 0712910730.
 
Kama Kazi Ngumu Acha Kazi! Kwanini Unahama GASEOUS CITY Na Kwenda SMOKES CITY?
 
Mimi mwl. Sekondari natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka mbeya jiji au rungwe aje korogwe mji. 0752588522
 
Mimi mwl sekondari natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka mbeya jiji au rungwe aje korogwe mji tanga

0752588522
 
Mm ni mwalim wa idara ya secondary wilsya ya rungwe (tukuyu). natafuta mtu kutoka morogoro manispaa. yy aje tukuyu mm niende moro town. contact# 0754834773
 
Mwalimu wa elimu msingi niko Mkuranga nataka mwalimu wa kubadilishana aliyeko Karatu aje Mkuranga aliye tayari ani pm.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mimi mwalimu wa S/M ipanzya mbozi mbeya natafuta mtu wa kubadilishana anayefundisha wilaya ya MUFINDI IRINGA 0755814442
 
Back
Top Bottom