WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mnaotaka kuja mzumbe mvomero idar
a ya msingi mnipm

4/1/2014. Kwa mwalimu wa secondary aliyeko mkoa wa morogoro au mvomelo,ambaye angependa kwenda kondoa dodoma ili mimi nije morogoro tuwasiliane kwa 0783 444731.
 
Natafuta mwalimu wa shule ya msingi wa kubadilishans naye kutoka Mbarali -Mbeya to Dar. Yeye aje Mbarali. Mawasiliano 0715293214; 0754212598
 
Jamani bwana mdogo yupo mbeya jiji anataka aende morogoro manispaa hata ikiwa dar-es-salaam haitakuwa mbaya sana.
 
Natafuta mwalimu wa sekondary kutoka morogoro au mvomelo aje kondoa ili mimi nije huko.mawasiliano 0783 444731.
 
Dada yangu ni mwlm wa shule ya msingi Manispaa ya Ilala natafuta mwl wa kubadilishana nae Manispaa ya Kinondoni. ana miaka 3 kazin ana TSD naa methibitishwa kazini.
Mwenye interest tuwasiliane plz
 
nipo karatu mjini idara ya sekondari, nataka mtu wa kubadilishana naye kutoka meru,arusha manispaa au arumeru
 
Nipo Magu mjini/Msingi. Mwl. aliyetayari kubadilishana kutoka Wilaya ya Mkuranga, Kibaha,Morogoro manispal au manispal yoyote ya mkoa wa DSM.
 
Nko moro-kilosa, natafut wa kubadilshan nae kutoka shinyanga---idara-secondary.
Mimi nipo kondoa dodoma,natafuta mwalimu wa morogoro,kilosa au mvomelo tubadilishane.Imeandikwa tr 7/1/2014.Aliyetayali anitafute kwenye 0783 444731.
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari singida mjini nahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka morogoro mjini,chalinze,na kibaha mawasiliano 0762000598
 
mim nipo wilaya ya mbinga mkoa wa Ruvuma idara ya sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kaz kutoka mikoa ya Singida na Manyara kwa mawasiliano zaidi nichek kupitia 0765070911
 
Kituo changu cha kazi kipi mahenge, mkoani morogoro, nafundisha sekondari. Napenda kubadilishana na mwalimu yeyote kutoka mikoa ya lindi, dsm au arusha/ moshi. 0685 955811
 
Mwalimu wa sekondari anayetaka kuhamia wilaya ya kaliua, toka morogoro,kibaha au dar
 
Nipo morogoro wilaya ya kilosa mjini, aliepo moro mjini or Dar tubadilishane. Idara ya Sekondari.

Ni tumie Private Messege (PM>

Du!mi nipo Dodoma wilaya ya kondoa ningependa kuja kilosa,tena mimi sitaki kutukutu wala mazinyungu,nataka niende kivungu au mart kwenye mashamba ya mpunga uko.
 
Mwaka huu natangaza nia, kwa yeyote alie Mwanza jiji na angependa kuja Singida Mjini Idara ya Sekondi Tuwasiliane yeye aje Singida mjin mm niende Mwanza jiji 0765610994 ndo mawasiliano yangu
 
Kwa aliyepo iringa municipal anahitaji kuja rungwe (tukuyu) mbeya, na mm niende iringa ani inbox hapa 0755766098, ni idara ya sekondari.........
 
Back
Top Bottom