Unataka kwenda lushoto? niambie ulipo then nitafute humu.....0789229795...
Kama vp mkuu njoo mahenge mkoani morogoro, magari yanafika hadi huko, umeme na maji vipo, in short huduma zote muhimu zinapatikana. Nicheki: 0714408238/0759401230.
Mkuu kutoka Moro mjini mpaka huko Mahenge nauli ni sh ngapi, na je ni lazima kupita kivuko cha maji ndo ufike. Thanx.
Kwa aliyepo iringa municipal anahitaji kuja rungwe (tukuyu) mbeya, na mm niende iringa ani inbox hapa 0755766098, ni idara ya sekondari.........
hahahahaha. Jaleleno