Habari Ndugu, Mimi Nipo Halmashauri Ya Moshi Natafuta Mwalimu Wa Kubadilishana Nae Anayetokea Kibaha Idara Ya Secondary, Tuwasiliane Kwa Namba 0689551884.
mim nipo wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kaz kutoka mikoa ya Singida na Manyara wilaya yoyote idara ya sekondar.aliye tayar anichek kupitia 0765070911
jaman nyaturu&nyiramba hamtak kwenu?njon bwana singda iramba me niend home kilimanjaro wilaya yoyote either mosh mjin,vijijin,rombo,same,mwanga,siha au hai nipo wilayan hapa iramba {kiomboi}shule ya sek new kiomboi km vp jichetue kwa 0653369940
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.