ayetaka kuja dar kuna jamaa anataka kurudi kwao kasulu amcheki hapo 0713318418
Mwalimu kutoka shule ya Vikindu sekondari Mkuranga karibu na dar es salaam, anatafuta mwalimu wakubadilishana kituocha kazi kutoka mji wa Makambako - Njombe. sababu kumfuata mumewe. pm
bukoba vp ?
Nipo kinondoni natafuta wa kubadilishana nae toka moro mjini, gairo au muheza! Nicheki kupitia [email protected]
Nipo kinondoni natafuta wa kubadilishana nae toka moro mjini, gairo au muheza! Nicheki kupitia [email protected]
Wadua aliyeko Karatu anataka kuja Mkuranga acheck na mie....
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke jijini Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
wadau nipo manispaa ya ilala nataka kuhamia sehemu yeyote isiyo na umeme, maji na barabara..
hebu njoo Musoma manispaa kama uko tayari uni PM ili mi nije huko GairoJe we ni mwalimu idara ya sec? njoo moro gairo mi nije mwanza ilemela, nyamagana au sengerema. Mawasiliano piga 0783708119/ 0753813219