WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi Nipo Halmashauri Ya Karatu Idara Ya Msingi,jitokeze Tubadilishane Kama Upo Monduli,au Jiji La Arusha Piga Simu 0765481551
 
Wa handeni,babati,au singida mjin njoo kasulu nije huko.idara ya sec,kama vp nitumie pm
 
Mmmm kila nikiangali comments nyingi hamna wa kwenda Mtwara na Lindi inakuweje wajameni?
 
natafuta mwl idara secondary kutoka kibaha au bagamoyo yeye aje TANGA mimi niende huko.
 
Njoo tabora urambo mjini nije dodoma,moro,iringa,njombe,mbeya,rukwa na ruvuma. IDARA YA SEC. 0688487920. Huduma kama umeme,hospital,bank. n.k zipo
 
Back
Top Bottom