WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Waliopo MBEYA,NJOMBE,IRINGA,na wanataka kurudi kwao KAHAMA,idara ya secondari-wanicheki 0765432283
 
mwl secondary yupo SERENGETI anahitaj wa kubadilishana nae kutoka ARUSHA...KILIMANJARO AU TANGA.
 
Anaetaka Kuja Mugumu,mimi Niende Arusha Au Mosh-idara Sec..Ani Pm
 
Naitaji mtu wa kubadilishana nae mimi niko kilindi tanga,nataka kuludi songea mjini,sh/msingi.NO.O653295519.
 
Mwalim anaetaka kuja halmashaur ya wilaya ya karatu mkoa wa arusha na mimi nije wilaya yoyote ya mkoa wa mwanza ispokua ukerewe. Contact 0757378561;0782753608

Kama Wewe Ni Wa Idara Wa Msingi Piga 0758270798
 
Njoo tabora urambo mjini nije DODOMA,MOROGORO(MVOMERO,GAIRO,KILOMBERO,KILOSA),IRINGA(KILOLO,MUFINDI,IRINGA VJJN), NJOMBE,MBEYA(RUNGWE,MANO,KYELA,MBOZI), RUKWA NA RUVUMA. Idara ya sekondary. TSHS 200,000/=ITATOLEWA KWA ALIYE TAYARI. 0688487920
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

narudia tena
anaetaka tubadilishane aje karatu arusha me nije wilaya yoyote ya mwanza ispokua ukerewe. au nije geita mjin. 0757378561. idara ya sekondar
 
NIPO SINGIDA MKALAMA (SEKONDARI) NAHITAJI KURUDI KWA FAMILIA YANGU KILOSA..........
Namba yangu: 0683 890 005
 
Back
Top Bottom