WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl wa SINGDA,BIHARAMULO,MWANZA anayependa 2badilshane ki2o cha kaz ani pm.niko wlya ya bahi idara ya sekondari.

Me npo idara ya mcngi npo mwanza km utapata wa mcng kutoka bahi nijulishe nataka nije bahi kaka 0683902828
 
Mwl. idara ya sec nipo Ruvuma namtumbo mjini kwa aliyetayari tubadilishane mm nije mbeya, iringa, njombe au morogoro pesa kidogo ya usafiri ipo
 
Nimepangiwa MSALALA-KAHAMA(SHINYANGA) idara Sekondari aliyepangwa SAME-KILIMANJARO nichek hapa 0654495591
 
Mwl idara SEC yupo MARA SERENGETI anatafuta mwl mwenzeke kutoka MWANZA POPOTE Na0756231236
0782527020/0767537020.
 
Mwl idara MSINGI yupo MWANZA anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka MARA-SERENGETI
Na 0756231236
0782527020
0767537020
 
Kama uko Iringa manispaa unataka kuja Tanga jiji idara ya sekondari, PM tufanye mchakato
 
Back
Top Bottom