WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo Manyoni-singida, idara ya sekondari shule niliyopangwa ni Manyoni sekondari ipo town center kabsa. Natafuta wa kubadilishana nae, nataka niende Dar, Bagamoyo au Kibaha
0762341595
 
Njoo tunduru-ruvuma idara ya sekondari fanya fasta mda unakwenda. 0766538148/ 0682136570.
 
Mwl idara ya sekondari,
Njoo Newala Mtwara,nije Morogoro,Pwani au Dar.
Tuwasiliane 0766444050/0788917554
 
  • Nipo Pwani wilaya ya Mafia kwenye samaki natafuta wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Tanga, Moro, Arusha, Moshi, Karatu na kwingine. Idara ya msingi. Nicheki hapa 0712016405
    ​




 
Njoo kilwa,,idara ya sekondari,,Dogo aje mkuranga,Dar,BAgamoyo,kibaha.
 
Mm
mwl wa sekondari wilaya ya nachingwea natafuta mwl mwenzangu wa
kubadilishana nae kutoka wilaya ya Mkuranga, Kisarawe, bagamoyo, njombe,
rufiji na mbozi. tuwacliane kwa 0714106727
 
Jamani mi nafuta mwl wa kubadilishana nae toka Sengerema au Geita aje KASULU-KIGOMA no-0783881828
 
Kwa aliyeko magu/ilemela mwanza idara ya msingi tubadilishane mm niko karatu arusha, nidungie no: 0754039566
 
NJOO TABORA URAMBO IDARA YA SEKONDARI NIJE SINGIDA,DODOMA,MOROGORO,IRINGA,NJOMBE ,MBEYA,RUKWA,RUVUMA. Tuwasiliane 0688487920
 
Hayahaya wale wa Lindi vijijini Mtama s/m mtumbya aje basi mi nije Tanga,bagamoyo,pwani,chalinze,kibaha.0785312886
 
Back
Top Bottom