WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Kuna mtu anajiita gona huyo ni tapeli na hana muda tunamkamata live nipeni ushirikiano
 
Mwalimu wa sekondari Manispaa ya shinyanga mjini anatafuta kubadlishana na mwalimu aliepo,Dar es salaam,Kibaha,Bagamoyo,Mkuranga.
 
wale wa kusini MASASI ni katikati tubadilishane na mtu yeyote kutoka KILMANJARO,ARUSHA,MANYARA AU TANGA alie tayari jamani mawasiliano 0789585414
 
Wa shinyanga mjini,tabora mjin,na singida mjin tupadilishane aje kasulu mjin,idara ya sekondar
 
Wewe mwalimu njoo Kigoma Kasulu mjini nije Moro, dodoma,tanga,Mbeya au kilimanjaro tuwasiliane kwa 0766 574507
 
NJOO CHATO MJINI-GEITA MDOGO WANGU AJE MOROGORO MANISPAA, DODOMA MANISPAA, AU MWANZA JIJI. Mob:0764264315.
 
Nahtaji mwalimu wa kubadilishana nae aje TABORA URAMBO MJINI,atoke dodoma,morogoro,iringa,njombe,mbeya,rukwa,na ruvuma. IWE WILAYA YOYOTE KATIKA MIKOA HIYO. NIPO IDARA YA SEKONDARI, mawasiliano 0688487920
 
mwl. idara ya sec natafuta mwalimu wa kubadilishana nae awe yupo mbeya(mbozi, au vwawa) , iringa au morogoro yeye aje Ruvuma Namtumbo mjini shule Nasuli sec
 
Back
Top Bottom