MTUNZA AMANI
Senior Member
- Jun 2, 2012
- 187
- 21
Jihadharini na brbm ni tapeli huyu mtu,kila mkoa yupo yeye na kila mkoa anataka yeye. Nb mods muangalien brbm
wewe ni tapeli,mara uko moro,mara dodoma,mara shinyanga,then watu wa kuja kwako wakijitokeza hujibu. Mods naomba mumuangalie huyu mtu ikiwezekana apige burn.
mtunza aman nakuunga mkono huyo jamaa ni tapeli apigwe burn mapema sana
kuna kaharufu ka utapeli hapa.
mtunza amani;9294399
naomba unielewe kuna watu wanatafuta watu wa kubadilishana nao ila hawajajiunga jf hivyo wananitumia niwatolee tangazo lao nami nafanya vile na wengi humu jf wanafanya vile hivyo issue ya utapeli inatoka wapi?
Mimi niko moshi municipal anayetaka kutoka arusha municipal au wilaya ya karatu anicheki tafadhali