WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

MTUNZA AMANI;9294399
naomba unielewe kuna watu wanatafuta watu wa kubadilishana nao ila hawajajiunga Jf hivyo wananitumia niwatolee tangazo lao nami nafanya vile na wengi humu Jf wanafanya vile hivyo issue ya UTAPELI inatoka wapi?

Nashukuru kwa kufunguka,coz nliona post yako ikidai uko Morogoro kilosa na ukasema ungependa kuja Tabora urambo,na nikakwambia kama vipi mm niko Tabora urambo tubadilishane.UKAWA KIMYA THEN NKAONA MARA UNASEMA UKO KIGOMA,MARA,DODOMA N.K ULINTISHA KDOGO BU UCJAL,so turekebishe bas nije moro kilosa.
 
Nahitaji wa kubadilishana nae,kutoka songea mjini uje huku kilindi tanga.idara s/msingi.0653295519.
 
nipo wilaya ya Nyamagana-JIJI MWANZA , Idara ya sekondari, natafuta yoyote anaetoka TANGA mjini, Bagamoyo, Morogoro ,contact:0769436999 au 0716903045
 
Ninawatakieni walimu wote pasaka njema. Msikate tamaa katika kutafuta wakubadilishana nao vituo vya kazi. Japo huweza kuchukua muda ila ipo siku utampata. Jipeni moyo, songeni mbele.
 
Nipo magu mwanza elimu ya msingi, kwa mwalimu kutoka kibaha, mkuranga, bagamoyo, morogoro, au Dar piga 0682279435
 
Mdogo wangu yupo Tandahimba-Mtwara Anahitaji kwenda mbeya au sumbawanga manicipal idara s/m aliyetaya kwenda mtwara nipm
 
Back
Top Bottom