WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Ewe mwenyeji wa tunduru, fanya tubadilishane mazingira ya kazi. Idara ya sekondari. 0766538148/0682136570
 
nipo TANGA idara secondary nahitaj kubadilishana n mwl kutoka KIBAHA AU BAGAMOYO.
 
mwl secondary yupo SERENGETI anahtaj wa kubadilishana nae kutoka ARUSHA KILIMANJARO AU TANGA.
 
Jamani nipo elimu msingi Serengeti, kama kuna alie tayari kutoka Mwanza Jiji, au Nzega ani PM Au phone no 0688819660
 
Jaman hakuna anaetaka kuja Serengeti kweli? Cjaona hata mmoja anaesema anataka aje huku mi nitoke niende pengne!
 
Nimetafuta wa kuja Serengeti miez 8 sasa sjapata, sijui kama ntapata! Labda shortcut!
Ndugu yangu mwalimu wa shule ya msingi wilaya ya Serengeti mkoan Mara anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka maeneo ya Arusha mjini,Moshi mjini,wilaya ya Babati,Ilemela,Nyamagana au Bukoba mjini.kwa aliye tayar amcheki kupitia 0716115075 au 0752515606
 
Basi yeyote anaetaka kuja Serengeti kutoka wilaya yoyote elimu msingi au Sekondari ani PM au 0688819660 mradi nitoke huku jamani!
 
Kuna mwalimu yuko Gairo morogoro anataka kwenda kibaha,bagamoyo,kisarawe au mkuranga. Yuko idara ya sek piga 0688487920 Ili nikuunganishe nae.
 
Mwalimu sec aje TABORA URAMBO MJINI mimi nije DODOMA,MOROGORO,IRINGA,NJOMBE,MBEYA,AU RUVUMA NA PWANI. contact 0688487920
 
BA' NICK; hivi Serengeti pakoje kuna dogo anakuja kule kapata mtu wa kubadilishana nae huko hebu nijuze
 
Natafuta mwenyeji wa wilaya ya kilindi; kazi awe mwalimu idara ya msingi atoke lushoto;kuhusu kubadilishana kituo cha kazi anitafute kwa 0683750987.
 
jamani nipo idara ya sekondari halmashauri ya Ngorongoro nahitaji mtu wa kubadilishana nae kwenda Nzega au Nyamagana apige namba 0762770455
 
Mimi Mwl. Nipo ulanga/morogoro idara ya msingi, natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka wilaya ya kibaha,kilombero au kilosa. Mawasiliano 0717228242
 
Back
Top Bottom