BABA A-JAY
Member
- Apr 11, 2014
- 9
- 0
Rafiki yangu mwalimu Idara msingi, yupo wilaya ya ulanga/morogoro anataka kwenda momba,mbarali,mbozi,mufindi au iringa. Mawasiliano 0763126831.
kwa mwl anaetaka kuja halmashauri ya moshi tubadilishane me niende sengerema idara ya sekondary. call 0762199971
ba' nick; hivi serengeti pakoje kuna dogo anakuja kule kapata mtu wa kubadilishana nae huko hebu nijuze
Walimu wa DAR, Iringa pazuri jamani mbona hamtaki kuja? badilishana kituo na mwalimu wa sekondari iringa manispaa.
Aliyepo IRINGA MANISPAA anataka kuja TANGA JIJI tuwasiliane
Kuna mwalimu wa sekondari YUPO BAGAMOYO anataka kwenda GAIRO,MVOMERO,KILOSA AU KILOMBERO. Kama upo tayari kubadilishana nae piga 0688487920 ili nikuunganishe.