Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,772
- 4,544
Njoo HALMASHAURI YA NJOMBE (W) Nije mbeya jiji,mbeya vijijini,vwawa,sumbawanga mjini,rungwe,kyela,chunya mjini,busokelo-idara sekondari no-0765432283 au 0765533013
Anaetaka kuja halmashauri ya iringa kutoka mbeya vijijini,jiji,rungwe au mbozi idara sec
Anayetaka kuja tabora wilaya ya uyui mm nije dar wilaya yeyote au ifakara moro au rombo mosh
njoo bariadi mji.Mimi npo Kigoma municipal secondary alioko Mbeya,Iringa au Morogoro anataka kuja Kigoma anitafute 0765333547
njoo bariadi mjiNjoo kasulu nije maswa,singida babati,manyoni au dodoma mjin au kongwa