WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo Bunda Mjini shule ya sec. Dr. Nchimbi Mimi niende Mwanza mjini au Magu.

0654448569 au ni Pm
 
Mwl idara ya Msingi.
Niko halmashauri ya
KYERWA - KAGERA.
NAOMBA KUBADILISHANA
NA MWL. YEYOTE KUTOKA
HALMASHAURI mojawapo
ya mikoa ifuatayo:
Mwanza, Moro.Bagamoyo,
Geita au Misungwi ni PM

0768661134 au 0654354841
 
Badilishana na huyu jamaangu.

Mimi ni mwl idara ya sekondar ktk halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoa wa MARA,natafuta mtu wa kubadilishana toka mkoa wa KATAVI,RUKWA au wilaya ya CHUNYA.MAWASILIANO:0782001274 au 0786736759.
 
Kuna mwl wa Commerce na book-keeping, anafanya kazi Jiji la Tanga anatafuta mwl wa kubadilishana naye kituo cha kazi, TSD na barua ya kuthibitishwa kazini zote anazo. Kwa anayetaka kwenda Jiji la Tanga na yeye aje Morogoro anaweza kuni pm then nitampa details zote. Ni kwa masuala ya kifamilia tu ndiyo yanamfanya atafute mtu wa kubadilishana naye.
 
niko Tanga mjini, vipi? ningetamani kuja moro

Kama unandoto za kuwa moro hazja fifia cha kufanya njo klnd shule nlyopo ipo mpakan na moro kabsa wlaya ya gairo na mvomero ya hata mshahara nachukulia moro town kama upo idara ya msng ni pgie kwa 0683750987 mm nataka kurud karb na home lushoto mana da is so far.
 
wale wa maswa hamtaki kwenu? Bahati adimu anayetaka kufanya kazi maswa idara ya sekondari anahitajika kutoka mikoa ya mwanza, Dodoma, Iringa, Morogoro, Tanga, Arusha, Mbeya, na Dar es salaam. kwa aliyetayari anipm au anitext 0768885000 Karibuni Maswa- simiyu
 
Wa kasulu-kigoma njoon kwenu nije gairo,korogwe, hedaru,na same mjin kama vp ni pm
 
Bahati adimu hiyo! anayetaka kufanya kazi maswa idara ya sekondari anahitajika kutoka mikoa ya mwanza, Dodoma, Iringa, Morogoro, Tanga, Arusha, Manyara, Mbeya, na Dar es salaam. kwa aliyetayari anipm au anitext 0768885000 Karibuni Maswa- simiyu
 
Nipo Msoma Mjini nataka kurudi Dar au MORO. Ni mwalimu wa Secondary. Kwa Mwenye Uhitaji Tuzungumze No.0757347907
 
Back
Top Bottom