Mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari niko ktk halmashauri ya wilaya ya masasi mkoa wa Mtwara,natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Tabora,Mwanza,Geita na Dodoma.Aliye tayar nicheki 0682990903 au 0759550330
Kuna rafiki yangu yupo Kilindi Tanga idara ya elimu msingi anataka kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya yoyote toka mkoa wa Kilimanjaro.No.0687829764 au 0766560556.
mwl.idara ya sec nipo songea namtumbo mjini shule nasuli alie tayari tubadilishana na mikoa kama njombe, iringa, mbeya (mby vjjn, mjini, mbozi, vwawa, momba) na morogoro
Mwl idara SEC yupo TANGA-BUMBULI mjini anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha DODOMA-CHAMWINO, KIBAHA MJINI,SINGIDA au KIROMBERO na IFAKARA.
Na 0756231236
0754019683
Mwl idara ya sekondari. Niko halmashauri ya KYERWA - KAGERA. NAOMBA KUBADILISHANA NA MWL. YEYOTE KUTOKA HALMASHAURI mojawapo ya mikoa ifuatayo: Njombe, Mbeya. Iringa, Dodoma, au Moro ni PM kwa 0766 742573 au 0683364141
kuna rafiki yangu yupo kilindi tanga idara ya elimu msingi anataka kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya yoyote toka mkoa wa kilimanjaro.no.0687829764 au 0766560556.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.