njoo TANGA mimi nije KIBAHA AU BAGAMOYO
Niko ruvuma wilaya ya nyasa idara sec. njoo huku nije Tabora, njombe, iringa or moro 0753925510
moshi mjini?
Njoo kigoma-buhigwe 0762187966
Jaman idara ya msingi aliye Makete anataka kwenda Tabora tafadhari mwenzenu my wife yuko Nzega.
Mwalimu wa sekondari Manispaa ya shinyanga mjini anatafuta kubadlishana na mwalimu aliepo,Dar es salaam,Kibaha,Bagamoyo,Mkuranga.
mie niko morogoro idara secondary natafuta wa kubadilishana nae atoke shinyanga wilaya yeyote au urambo tabora
Nani aende Kakonko? huko si mpakani na Rwanda
Njoo kigoma-buhigwe 0762187966