WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

NJOO LUDEWA LUGARAWA SEC SHULE INA UMEME, MAJI, NYUMBA NZURI ZA WAALIMU, HISPITAL NZURI YA MISSION, SHULE IPO HAPO HAPO KWENYE MAKAZI YAWATU SO HAIHITAJI NAULI KUFIKA KAZINI AU SAKONI, ni PM KAMA UNATAKA.
 
njoo ludewa lugarawa sec shule ina umeme, maji, nyumba nzuri za waalimu, hispital nzuri ya mission, shule ipo hapo hapo kwenye makazi yawatu so haihitaji nauli kufika kazini au sakoni, ni pm kama unataka.

njoo tabora
 
Njoo Mafia
 
njoo ludewa lugarawa sec shule ina umeme, maji, nyumba nzuri za waalimu, hispital nzuri ya mission, shule ipo hapo hapo kwenye makazi yawatu so haihitaji nauli kufika kazini au sakoni, ni pm kama unataka.

njoo kahama mji
 
Njoo NJOMBE MJI mimi nije RUNGWE au BUSOKELO (idara ya msingi) mawasiliano: 0764623738 au 0715598343
 
mm npo NJOMBE MJI Halmashauri natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi yeye aje NJOMBE MJI mm nije RUNGWE au BUSOKELO (Idara ya msingi) mawasiliano 0764623738 au 0715598343
 
mwl yupo SERENGETI idara sec. anatafuta wa kubadilishana nae kutoka ARUSHA KILIMANJARO AU TANGA wilaya yoyote.
 
Idara ya secondar anayetaka mkoa wa kagera -karagwe kyerwa aje huku na mm niende mkoa wa Mwz,Shinyanga, Tabora,Mbeya,Geita au Morogoro, piga 0753010680.
 
Back
Top Bottom