WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

mimi nipo Mbinga nataka kuhamia Singida manispaa idara sekondar,kwa mawasiliano zaidi 0765070911
 
natafuta wa Kubadilishana nae aje karatu arusha me nije wilaya yoyote mwanza ispokua ukerewe. Idara ya sekondari. 0757378561
 
natafuta wa Kubadilishana nae aje karatu arusha me nije wilaya yoyote mwanza ispokua ukerewe. Idara ya sekondari. 0757378561
 
Mwalimu wa sec aje TABORA atoke dodoma,moro,iringa,njombe,mbeya na ruvuma. Nitachangia gharama za usafiri. Kwa aliye tayari 0688487920
 
naandika kwa niaba ya dada yangu. dada yangu ni mwalimu anafanyia kazi manispaa ya temeke, lakini anataka mtu wa kubadilishana nae ili aamie manispaa ya ilala maana akiamia ilala atapata shule iliyo karibu na nyumbani kwake. kama huko tiyari nipm namba yako hili nikutumie namba zake muanze mchakato.
 
Masasi kukoje? n mkoa gan? na umbal had ruvuma ukoje na gharama ikoje? pia mazingra yake yakoje?

MASASI ni pazuri halafu nimakutano ya njia nne kwanza kutoka dar,lindi na mtwara mjini pili kutoka tandahimba na newala tatu kutoka liwale na nachingwea nne songea na tunduru. Hali ya maisha n wwe 2 na utumizi wako na umbali had songea nkama km 400 nauli 25000
 
Jaman anayetaka wilaya ya Kilwa,,idara ya sekondari..Atokee kibaha,bagamoyo,mkuranga na dar..Tuwasiliane
 
MASASI ni pazuri halafu nimakutano ya njia nne kwanza kutoka dar,lindi na mtwara mjini pili kutoka tandahimba na newala tatu kutoka liwale na nachingwea nne songea na tunduru. Hali ya maisha n wwe 2 na utumizi wako na umbali had songea nkama km 400 nauli 25000

Duh cjajua kama nitakuwa nimepunguza tatizo,any way, nichek kwenye namba yangu hapo juu kwa mawasiliano zaidi
 
Back
Top Bottom