WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalim anaetaka kuja halmashaur ya wilaya ya karatu mkoa wa arusha na mimi nije wilaya yoyote ya mkoa wa mwanza ispokua ukerewe. Contact 0757378561;0782753608
 
kwa yeyote aliye mkoa wa Iringa, njombe,au mbeya anayetaka kuja Mkoa wa Tabora anitafute kwa namba 0688487920
 
Mwalimu yupo Tarime idara ya sekondari anahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Moshi, Tanga au Pwani. Kama upo tayari
tuwasiliane kupitia 0755 51 70 76.
 
Kuna mwalimu yupo SERENGETI anatafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka Arusha Kilimanjaro au Tanga.
 
Nipo Pwani wilaya ya Mafia kwenye samaki natafuta wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Tanga, Moro, Arusha, Moshi, Karatu na kwingine. Idara ya msingi. Nicheki hapa 0712016405
 
WALIMU WENZANGU
WALE WAPYA KWENYE HII KAZI KAMA UNATAKA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI
UMEMPATA MWENZIO WA KUBADILISHANA NAE VITU MUHIMU NI:
1>barua ya ajira
2>kitambulisho
3>Slp ya mshahara
4>barua zenu mbili.
5>Check no
VITU VISIVYO VYA LAZIMA ni:
1>barua ya kuthibitishwa
2>TSD no
3>Anuani ya MEK.
Kama unataka maelekezo zaidi nitafute kwa no
0756231236/0689270867/0719184787 utasaidiwa.
Pia kama haujui namna ya kuweka poct JF usihangaike ukaliwa pesa zako
bure nipo hapa mwl mwenzio kupitia jf nimehama nitafute nitakuwekea
TANGAZO.
Kwa wale walioanzamchakato pia muamini mtafanikiwa.

asante kaka ntakutafuta be blessed
 
NJOOO NAMTUMBO KATA YA KITANDA MM NIJE RUNGWE TARIME MUSOMA (M) mwanza jiji Idara ya secondary tuwasiliane 0684 027 900 0762 382 482

Njoo Tabora urambo mjini ndugu,pana umeme,bank,hospital na huduma zote za kijamii,kama upo tayari 0688487920
 
mwalimu wa sekondari yupo korogwe tanga anahitaji kwenda dodoma, moro au pwani. uliye tayari tiririka hapa 0714480242
 
Mwl MAHENGE idara MSINGI yupo KATAVI anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha MBEYA AU IRINGA POPOTE Na 0756231236/076815489
 
Back
Top Bottom