WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo TABORA URAMBO MJIN, nije dodoma,morogoro,iringa,njombe,mbeya. IDARA YA SEKONDARI 0688487920
 
me niko Mbulu.... nataka kuja Mwanza... namba zangu ni 0718278465
 
Anayetaka kuja LUDEWA,kata ya luana km 9 kufika ludewa mjin,barabara ipo,maji yanapatikana na umeme ktk kata hii hadi shulen upo na nyumba za walm zipo idara msing tuwasiliane awe anatokea tanga wilaya yeyote,mtwara wilaya yeyote 0753884902

Nenda shinyanga vijijni shule ipo karbu na senta ya mhangu ambayo ina kila kitu. Nauli kufika mwanza town ni 4000 na shy town 4000 nije ludewa.
 
Wale wa wakusini karibuni kwenye gesi,naitaji mtu wa kubadilishana nae kutoka WILAYA za KILMANJARO,ARUSHA NA MANYARA na ya cm 0789585414
 
Nipo Pwani wilaya ya Mafia kwenye samaki natafuta wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Tanga, Moro, Arusha, Moshi, Karatu na kwingine. Idara ya msingi. Nicheki hapa 0712016405
 
Back
Top Bottom