Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Sidhani kama utakuwa na moyo wa kufundisha. Unawaza kuja mujini tu!
Mimi ni mwalimu wa
sekondari hapa wilaya ya kyela, mbeya natafuta mtu wa kubadilishana nae
aje huku kyela mimi nije morogoro hasa kilosa, mvomero au morogoro
mjini.
thanks
Unaonaje tukitumia PM? Kilosa napapenda pananifaa.njoo kilosa weka mawasiliano we2 wa kyela
kama upo tayari njoo mpwapwa dodoma, mimi nipo huku.
Mimi ni mwalimu wa shupe ya msingi nipo Lushoto natafuta mtu wa kubadilishana nae aliepo Moshi au Arusha
Unaonaje tukitumia PM? Kilosa napapenda pananifaa.
njoo NJOMBE nije KAHAMA.
Niko serious kabisa ila kutokana na hali sasa siyo vyema kuandika namba yangu ya simu hapa,ndiyo maana kama unaweza tutumie zaid kwanza PM na huko ndiko tutapeana namba za simu.ok! ila mawasiliano ya cm muhimu kama upo siliasi na suala hili
nipo Manyoni singida mwl. Idala ya sekondari nahitaji kwenda Ilemela, Nyamagana, Geita au Musoma manispaa
jamani me nataka wa kuja mbulu manyara me niende mwanza. K/njaro au arusha