WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo mbinga idara ya sekondar nahitaji kuhamia Singida Manispaa aliyetayar anitafute 0765070911
 
Njoo Ngorongoro nije Arusha/Arumeru idara msingi
Hii nikwasababu nataka kuungana na familia yangu(Kazawadi kadogo katatolewa)
Phone 0767332267
 
Anaependa kuja Halmashauri ya Msalala-(Kahama,Shinyanga) nipo Shule ya Secondary Isaka' napenda kurudi nyumbani Same-Kilimanjaro.0754033018, 0654495591
 
Kwa anayetaka kuja Tabora urambo mjini idara ya sekondari awe anatoka dodoma,morogoro,iringa,njombe na mbeya,Tuwasiliane 0769 848539 au ani PM
 
NAHITAJI kubadilishana (idara ya msingi) mm nipo NJOMBE-MJI HALMASHAURI nahitaji mwlm wa kutoka RUNGWE HALMASHAURI (mm nije rungwe yeye aje njombe mji halmashauri) mawasiliano: 0752994777, au 0786211333
 
anaetaka kuja KALIUA mkoa wa TABORA idara ya msingi tuwasiliane 0764417614
 
Jamani huko songea, mbinga, namtumbo, iringa na mbeya hakuna wa serengeti idara ya sekondari? nitafuteni hapa!
 
Yeyote wa serengeti aliye tabora mjini, igunga, nzega, urambo, shinyanga mjini au vijijini idara ya sekondari tutafutane. wahi nafasi ni chache!
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

Mwal;Tweve (shahada) nataka mwalimu anae taka kuja bunda mimi nirudi nyanda za juu kusini&mashariki tuwasiliane kwa;0756757925 or0652828828
 
Jaman anayetaka kwenda kigoma mjini awe anatoka mbeya jiji, mbeya vijjn au rungwe idala ya sekondar ani PM tafadhali!
 
Nipo karagwe,kata ya mabira idara ya msing yoyote anaetokea Mwnza,geita mjni na morogoro tuwasiliane 0768661134
 
Back
Top Bottom