WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mi mwalimu ajira mpya wilaya ya uyui Tabora naomba anayetaka kutoka Igunga Tabora kwenda uyui anitafute
 
Wa dodoma kama unataka kuja mbeya wilaya ya rungwe idara ya msingi mimi nije dodoma tuwasiliane kwa hii namba 0752138870
 
Mimi Mwalimu wa shule ya Msingi Mkoa wa Iringa Wilaya ya Mufindi nahitaji kuwasiliana na wewe ili kubadilishana vituo vya kazi kama ulivyoomba. Nahitaji kwenda Bagamoyo, Kisarawe au Kibaha. Kama upo tayari naomba tuwasiliane kupitia0767 221777 / 0714451777 au 0655 595814
 
Mim ni mwl nipo singda manispaa natafuta m2 wa kubadilishana nae kutoka mwanza city yeye aju hapa manispaa,nataka kurud kwe2 aliye tayar ani pm 0764661232
 
Kama yupo anayetaka aje LUDEWA idara msing shule ya LUANA ipo barbaran,karbu&ludewa mjin,maji yapo,umeme ndio unafungwa wayaring majumban&ktk taasis shule&kanisa hadi ktk nyumba za walimu mie nimepewa na nyumba.anayetaka awe anatokea tanga 0753884902
 
Jamani anayetaka kuja mtwara mjini na yeye yupo dsm au mwanza ilemela,nyamagana na sengerema mjini tuwasiliane 0714588035/0752247478
 
Jamani anayetaka kuja mtwara mjini na yeye yupo dsm au mwanza wilaya za ilemela, nyamagana au sengerema mjini. Idara ya sekondari tuwasiliane 0714588035/0752247478
 
Kuna mwalimu wa shule ya msingi yupo kilolo iringa anatafuta wa kubadilishana nae kutoka mbeya wilaya za rungwe au kyela.hapo alipo ni mjini nyumba za walimu zina huduma zote muhimu kama umeme,maji na huduma zingine.tuwasiliane 0789389152
 
Nipo mtwara mjini/sekomdari, njoo nije dsm morogoro, ilemela, nyamagana, misungwi, sengerema mjini, magu mjini 0752247478/0714588035
 
Kumbe nachingwea na kilwa ni mikoa siku hizi? Kumbe niko nyuma ya wakati mwalimu mwenzenu nyie! Ilipewa hadhi kuwa mikoa lini na bunge lipi?
 
Back
Top Bottom