njoo NJOMBE nije KAHAMA.
Nipo shinyanga idara sekondari njoo huk nije njombe 0757555715
kazi ipo.lazima ujue kupigana.
Mim ni mwl nipo singda manispaa natafuta m2 wa kubadilishana nae kutoka mwanza city yeye aju hapa manispaa,nataka kurud kwe2 aliye tayar ani pm 0764661232
Jamani anayetaka kuja mtwara mjini na yeye yupo dsm au mwanza ilemela,nyamagana na sengerema mjini tuwasiliane 0714588035/0752247478
Mimi mwl wa sekondari nipo songea natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka dodoma mjin au chamwino.aje huku mimi niende huko.reason mama yangu hajiwezi anahitaji msaada wangu kwa karibu.0719490040
idara gan msing au sec na uko wilaya gan
Serengeti mara vipi?