WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl KYANDO yupo GEITA MANISPAA idara SEC anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha TANGA,MORO,PWANI-POPOTE,DAR au IRINGA.
Na: 0769818091/
0756231236
0762109593
 
mwalimu idara ya SEKONDARI kutoka SINGIDA
MANISPAA/MJINI anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae
kutoka MOROGORO MANISPAA..
plz PM me
**250,000 tshs ya kusafirishia mizigo
itatolewa..
 
Kwani nyie Manjeree nikwamba hamtaki kwenu NGORONGORO??
ebu njoo ngorongoro mi nije Arusha/Arumeru/Hai
phone 0767332267
 
Mwl wa Secondary halmashauri ya Msalala-Kahama(Shinyanga) natafuta mwl wa kubadilishana kutoka Kilimanjaro' 0654495591. 0754033018
 
huyu aje morogoro manispaa wewe uende mbeya jiji.(idara ya msingi)
 
WALIMU WENZANGU WALE WAPYA KWENYE HII KAZI KAMA UNATAKA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI UMEMPATA MWENZIO WA KUBADILISHANA NAE VITU MUHIMU NI:
1>barua ya ajira
2>kitambulisho
3>Slp ya mshahara
4>barua zenu mbili.
5>Check no
VITU VISIVYO VYA LAZIMA ni:
1>barua ya kuthibitishwa
2>TSD no
3>Anuani ya MEK.
Kama unataka maelekezo zaidi nitafute kwa no 0756231236/0689270867/0719184787 utasaidiwa.
Pia kama haujui namna ya kuweka poct JF usihangaike ukaliwa pesa zako bure nipo hapa mwl mwenzio kupitia jf nimehama nitafute nitakuwekea TANGAZO.
Kwa wale walioanzamchakato pia muamini mtafanikiwa.

Mkuu hebu nieleweshe hapa, barua ya ajira inaandikwa na nani?, vitambulisho kwa walimu wapya vitapatikana lini?, slp ya mshahara nayo itatoka mshahara wa kwanza au?, na barua hizo mbili moja yako na ya unayebadilishana nae au mbili kivipi?. MSAADA.
 
WALIMU WENZANGU WALE WAPYA KWENYE HII KAZI KAMA UNATAKA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI UMEMPATA MWENZIO WA KUBADILISHANA NAE VITU MUHIMU NI:
1>barua ya ajira
2>kitambulisho
3>Slp ya mshahara
4>barua zenu mbili.
5>Check no
VITU VISIVYO VYA LAZIMA ni:
1>barua ya kuthibitishwa
2>TSD no
3>Anuani ya MEK.
Kama unataka maelekezo zaidi nitafute kwa no 0756231236/0689270867/0719184787 utasaidiwa.
Pia kama haujui namna ya kuweka poct JF usihangaike ukaliwa pesa zako bure nipo hapa mwl mwenzio kupitia jf nimehama nitafute nitakuwekea TANGAZO.
Kwa wale walioanzamchakato pia muamini mtafanikiwa.

Mkuu hebu nieleweshe hapa, barua ya ajira inaandikwa na nani?, vitambulisho kwa walimu wapya vitapatikana lini?, slp ya mshahara nayo itatoka mshahara wa kwanza au?, na barua hizo mbili moja yako na ya unayebadilishana nae au mbili kivipi?. MSAADA kwani nimeshapata wa kubadilishana nae nataka iwe kabla ya likizo ya mwezi wa sita.
 
NJOO TABORA URAMBO MJINI kuna umeme,bank,hospital,usafirn.k IDARA YA SEC. MIMI NIJE DODOMA,MOROGORO,IRINGA,NJOMBE,MBEYA,RUVUMA,RUKWA. kama uko tayari contact 0688487920
 
Ndg zangu anayehtaj kuja Mkoa wa Geita wilaya ya Mbogwe (Bukombe), Mi nije Halmashauri za Mbinga, Songea, Namtumbo, Njombe, Wanging'ombe na Mji Makambako. Idara ya Msingi kwa mawasiliano tumia 0763053058. Kama una ndg au jamaa hko mjulshe. 2kuwone mlhongo bhangu.
 
Nipo Pwani wilaya ya Mafia kwenye samaki natafuta wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Tanga, Moro, Arusha, Moshi, Karatu na kwingine. Idara ya msingi. Nicheki hapa 0712016405
 
Back
Top Bottom