WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Niko Manyara babati nataka kwenda arusha jiji au kilimanjaro manispaa sekondari
0764933405
 
Natoka mkoa wa arusha nahitaji kubadilishana na mwl wa morogoro.tanga na pwani. 0788628489 au ni pm.
 
Natoka mkoa wa arusha nahitaji kubadilishana na mwl wa morogoro.tanga na pwani. 0788628489 au ni pm.

Fafanua vizuri, mwalimu gani hujui kujieleza?

Sema upo wapi na unataka uhamie wapi. Morogoro ni kubwa ukimpata wa Matombo je? Hata Pwani ni kubwa, ukimpata wa Rufiji porini utakubali?
 
Mi ni mwalimu wa sekondari, natafuta mtu wa kuja h/wilaya Busokelo Mbeya mi niamie Morogoro, Pwani au Dar. Anayehitaji aandike private message (pm).
 
Natoka mkoa wa arusha nahitaji kubadilishana mwl wa mkoa wa manyara.0788628489
 
Aliye tayari kuja KILWA tubadilishane,atoke Tanga,Arusha,kilimanjaro au Morogoro.mwalimu sekondari
 
Nipo karatu nataka kwenda korogwe au handen tanga moro vijijini au mvomero.
 
Nipo nachingwea secondary, aliyetayari kuja. mie niende njombe mjini, morogoro mji.iringa town, au mbeya town.piga 0785805309
 
Jaman naomba mnisaidie hili suali,

Modern education emphasizes on cognitive learning theory over behavior lerning theory.
 
Back
Top Bottom