WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl SHUNDA Idara (msingi) yupo LINDI(V) anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha TANGA-KOROGWE au PWANI-KIBAHA,BAGAMOYO.
Karibu tuanze michakato
Na:0685521176 au
0756231236.
 
Kwa yeyote anayetaka kuhamia moshi idara secondary kutokea kibaha tuwasiliane 0757170397
 
njoo mtwara jamaa yangu aje arusha, tanga au Manyara. mawasiliano 0684224478.
 
anayetaka kuhamia mtwara kutoka arusha au manyara tuwasiliane 0684224478
 
Mwl YUPO KISHAPU-SHINYANGA idara MSINGI anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha BUKOBA-NGARA,MULEBA AU BK(v) karibu.
Na:0764818489
 
Mimi nipo wilaya ya karatu.nahitaji kubadilishana na mwl yeyote kutoka mkoa wa tanga wilaya korogwe kilindi na handeni
 
njoo MAGU mjini idara ya elimu ya msingi, mimi nije kibaha, mkuranga ,bagamoyo au morogoro. 0682 279435
 
Mwl MWAKANYAMALE yupo IRINGA MJINI idara SEC anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka ILALA TMK AU KINONDONI DAR.
Na:0752227413/
0756231236
 
njoo mtwara jamaa yangu aje arusha, tanga au manyara. 0684224478
 
Mwalimu wa sekondari mwenye tsd aliyeko mkoa wa arusha,kilimanjaro anayetaka kuja mkoa wa manyara babati chaap tuwasiliane
 
Back
Top Bottom