Newtongift
Member
- Feb 21, 2014
- 93
- 5
Anayetaka maswa idara sec. kutoka mbeya, tukuyu, iringa na morogoro tuwasiliane 0765419096
anayetaka maswa idara sec. Kutoka mbeya, tukuyu, iringa na morogoro tuwasiliane 0765419096
Anayetaka kasulu mjin kutoka shinyanga mjin,kahama,geita mjin ARUMERU, na sengerema mjin tubadilishane,idara ya sec ni pm
njo karatu
njoo serengeti
nafundisha halimashauri ya wilaya ya mkuranga shule ya msingi, nahitaji mwl wa kubalishana naye anayetoka halmashaur ya mji kibaha au kibaha vijijini tafadhali tuwasiliane
Wadua aliyeko Karatu anataka kuja Mkuranga acheck na mie....
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Nipo busega ambayo ni magu ya zaman, je utapenda kuja