WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

njoo dodoma wly chamwino idara ya sekondari nije, mikoa ya mbeya, njombe, iringa, morogoro au rukwa wilaya yoyote, nitafute 0789624998
 
Kuna Mwalim Anataka Uje Chamwino Dodoma Yeye Aje Wlya Ya Mbogwe,kilombelo,chato,bukoba,rungwe,mbeya Mji,rukwa Au Kigoma.Idara Sec.Contact 0682872167
 
Mwl.idara ya sekmdari. Niko KYERWA-KAGERA. Natafuta mwl.wa kubadilishana naye kutoka mikoa ya Njombe/Iringa/Mbeya/Moro au Dodoma. Aliye tayari tuwaciliane kwa no. 0766-742573
 
Anayetaka kasulu mjin kutoka shinyanga mjin,kahama,geita mjin ARUMERU, na sengerema mjin tubadilishane,idara ya sec ni pm
 
Njoo dodoma wly chamwino niende mikoa ya mbeya,njombe,morogoro,rukwa,iringa wilaya yoyote katika mikoa hiyo, idara secondary, contact 0789624998
 
Kuna mwalimu idara ya sekondar wilaya ya BUSEGA mkoa mpya wa SIMIYU anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo aje BAGAMOYO. Kwa aliye tayar wasiliana nae kwa numbr 0718802423/ 0764802424
 
Niko Urambo Tabora shule ya msingi Ukombozi nataka aliyeko Morogoro
 
mwalimu nipo kaliua tabora natafuta wa kubadilishana nae kutoka Tabora manispaa Shinyanga Kahama Singida Igunga Geita na Nzega idara ya msingi kwa alietayar tuwasiliane 0764417614 0684308842
 
Ajiraaa mpya!!! Njoo ulanga-morogoro, nije kibaha, kilosa au kilombero. Mawasiliano 0759873595 au 0717228242
 
mi nipo Mbeya Rungwe Tukuyu, upande wa sekondari..
Ambae yupo Iringa anataka kuja huku,anicheki.
 
Mwl Idara SEC Yupo SIMIYU-MASWA anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha MBEA,IRINGA,RUVUMA,MOROGORO AU SUMBAWANGA POPOTE.
Na 0756231236
0766251323
 
Mwl Faustin wa Mtwara anatafuta wa kubadilishana kutoka Tanga, morogoro, Singida na Arusha. Kwa aliye tayari mawasiliano 0684224478.
 
Mang'ola/karatu idara ya msingi anahitaji mtu wakubadilisha nae kituo cha kazi iwe mwanza wilaya yeyote isipokua ukerewe mawasiliano :0719218597

Shinyanga Hupataki? Je Mara Utahitaji? Kama Utakuwa Tayari Hapo Tayari Umepata,ondoka Kwenye Vitunguu Kalime Mchele Shinyanga
 
Kuna Mwalim Anataka Uje Chamwino Dodoma Yeye Aje Wlya Ya Mbogwe,kilombelo,chato,bukoba,rungwe,mbeya Mji,rukwa Au Kigoma.Idara Sec.Contact 0682872167

Njoo Chato mjini best, ni ziwan hapa! kama vp ncheki 0764264315.
 
Back
Top Bottom