WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu wa kubadilishana kutoka nyamagana au ilemela kwenda sengerema halmashauri(mjini),idara sekondari nauli ya uhamisho ipo,mawasiliano 0712905698
 
Mwalimu wa idara ya secondary aliyeko MOSHI aliyetayar kuja halmashaur ya BAGAMOYO tuwasliane 0784035214
 
Anaetaka kuja Serengeti niende Mwanza Jiji, kitanda na godoro pamoja na jiko dogo la gesi la kg 15 ntamwachia na 50,000/= ya kuanzia maisha! Idara ya Msingi nipo jiran sana na mjn dk 15 unafika town!
 
Nipo katavi wilaya ya mpanda idara ya msingi. Kwa yeyote anayetaka kuja huku anakaribishwa. Masharti atokee wilaya ya mbozi, momba rungwe au ileje. Contacts zangu ni 0767589452 au 0759282829.
 
IRINGA-KILOLO EDUCATION DEPARTMENT. Any one from bagamoyo, dsm( ilala,kinondoni, temeke, mkuranga and kisarawe. You are Welcome in iringa kilolo. Good weather and foods are available daily, electricity, roads permitable, networks. Contact me via 0759282829.
 
Habari wanajamvi.
IDARA YA MSINGI
Nipo KATAVI-MPANDA natafuta Mwl. wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka IRINGA, NJOMBE au MBEYA (Wilaya ya MBOZI, MOMBA, RUNGWE au ILEJE).
Mawasiliano: 0767 589 452
 
Narudia tena natafuta mtu wa kuja Kyela~Mbeya mimi niende Kibaha, chalinze au Bagamoyo idara ya Sekondari. Haraka sana jamani, 0684123978
 
njoo kilwa,idara ya sekondari..dogo aende kibaha,bagamoyo ,kisarawe,Dar au Mkuranga
 
[h=2][/h]
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Mkata iliyoko Handeni katika mkoa wa Tanga natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Tanga mimi niende Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai. Awe na barua ya usibitisho kazini.
​
 
Jamani natafuta mwl wa sekondari wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka mkoa wa Kilimanjaro aje mkoa wa Tanga awe na barua ya usibitisho kazini.
 
Wakuu,wale wa mbeya jiji,mbeya vijijini,chunya mjini,momba,rungwe,busokelo,kyela,mbalari, na mbozi,MNATAKA KUJA HALMASHAURI YA WILAYA NJOMBE PGA-0765432283,N:B- KARIBU NJOMBE UPATE UTAJIRI WA HARAKA KWA KUPTIA KILIMO!
 
Mimi ni mwalimu wa Sekondari nina miaka 9 kazini niko Halmashauri ya Wilaya ya Same. Naomba kama kuna Mwalimu anayetaka kuhamia Same kutoka Rombo Naomba nibadilishane nae contacts 0784407717 / 0763599781.
 
Wadau nahitaji kwenda ilemela au nyamagana niko Sengerema naombaa wa kubadilishana na mwl. Anaehitaji kuja sengerema idara ya sekondari 0712905698 & 0786952954
 
Mwl Jonson wa Nzega-tabora anatafuta mwl wa kubadilishana nae toka Moshi kama uko tayari mcheck kwe 0689579655
 
Back
Top Bottom