ulirckymtang'ase
Member
- Mar 2, 2014
- 60
- 3
Wa tabora jeeee mkujeeeee
Wajameni mang'ola karatu hapa anatatafutwa wakubadilisha nae kituo cha kazi awe mwanza wilaya yeyote gharama zote za kuhama, makazi nk. Mawasiliano haya hapa 0754039566
anaetaka musomA idara ya s\m
nichek 0756970201
Anaetaka
kuja Dodoma(Chamwino) idara ya sekondari toka Moro,Gairo,
Iringa
njoo iringa idara sec ukiwa bagamoyo,pwani,mkuranga au kisarawe.
Karatu /arusha vp ndugu
Nitakuwa sijatatua tatizo.
Mimi ni mwalimu idara ya msingi kwa yeyote anaetaka kuja halmashauri ya sengerema mwanza mi niende wilaya ya mbulu tuwasiliane kwa 0684223372 au 0765200735 natanguliza shukrani.