WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Natafuta Mwl wa kubadilishana aje TABORA municipal, kutoka wilaya yoyote Mwamza. karibu sana tuwasiliane kwa 0764664684
 
Chemistry and Biology.
Biology and Phyisics.

shule ziko kongowe na Tegeta.
salary not less than 600,000/=
kabla ya tarehe 12nd/05/2014.

Grade A teacherz.
shule ziko kimara na mbweni tegeta.
salary 300,000/= to 350,000/=
mwisho 13rd/05/2014.
karibu teacherz junction.
magomeni mapipa kwa usail,interview and re-training.
0753-810857.
pia unaweza usaili na training kwa matawi yetu ya mbeya
0655-586906.
Pia tunatarajia kufungua tawi jipya jijini mwanza.
Teachers junction for Us
 
mwalimu kutoka dar anayetaka kuhamia iringa manispaa, idara ya sekondari, nafasi ipo. Hamia iringa nije dar.
 
Anayetaka kasulu jamaa yangu aje korogwe handen au muheza ani pm nimuunganishe
 
jamani wadau nimepata mwalimu wa kubadilishana ila process sizijui naomba msaada wenu 0764417614
 
Njoo iringa kilolo mi nije mkuranga,temeke,pwani,bagamoyo kisalawe au ilala. Mazngra mazur,vyakula,umeme,maji, lami na mitandao yote inapatkana. Kwa mawasliano piga 0759282829 au 0766216814..
 
Njoo HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE,nije DODOMA wilaya yoyote, nicheki 0762686424
 
Njoo HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE,nije DODOMA wilaya yoyote, nicheki 0762686424,au 0764716088,idara ya sekondary
 
Njoo kilindi tanga idara s/msingi,mimi nije songea mjini.0752253329.

Njoo HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE,nije DODOMA wilaya yoyote, nicheki 0762686424

Njoo HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE,nije DODOMA wilaya yoyote, nicheki 0762686424,au 0764716088,idara ya sekondary

Mliambiwa na uongozi wa Jamiiforums msiweke number zenu za simu hadharani. Ktk page yako ya JF kuna sehemu imeandikwa Private Message au kwa urahisi zaidi click ID ya mtu unayetaka uwasiliane naye private na utapata options nyingi pale ikiwemo Private message. Ukigonga.hiyo PM inakuletea template ya kuandika message ambayo.ni kati yenu wawili tuu.
 
Mie ni mwalimu toka halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kutoka huku nilipo ili niende Mkoani Mtwara....wilaya ya Masasi mjini.
Njoo Kinondoni, mie nije Mtwara-Masasi
anaetaka ani pm.
 
njoo Ngorongoro mi nije Mwanza,Kahama,Geita,Nzega,Arusha mjini,Nyamagana,Ilemela piga simu namba 0762770455 au ni PM.IDARA YA SEKONDARI
 
Mwl.idara ya sekondari njoo Newala Mtwara nije Dar,Moro mjini,Bagamoyo au Kibaha.
Anayetaka ani pm
 
Back
Top Bottom