Stanboy
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,115
- 1,328
Mie ni mwalimu toka halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kutoka huku nilipo ili niende Mkoani Mtwara....wilaya ya Masasi mjini.
Njoo Kinondoni, mie nije Mtwara-Masasi
anaetaka ani pm.
Njoo Newala km hutojali,
shs 4000/=mpk Masasi mjini.
usafiri wa uhakika masaa 24