sokoukwela
Member
- Feb 6, 2014
- 10
- 1
Njoo Dodoma manispaa nikuje Arusha au Mwanza. Ni-pm.
Jamani wala wanaotaka kuhamia KUSINI tubadilishane na mtu yeyote kutoka KILIMANJARO,ARUSHA,MANYARA AU TANGA tuasiliane kwa no 0789585414
Nije mufindi njoo Kigoma mjini
Njoo Musoma nije Songea,namtumbo,Mbinga,njombe.
kama vile hujaelewea,unataka kwenda wapi?,halaf mambo ya masomo mbona haya mati
nipo iringa manispaa, idara ya secondary,naomba mwalimu wa kubadilishana kutoka dar. Ntakuachia nyumba ninayoishi.
kusini mkoa gani tubadlishane .
anayetaka kuhamia mufindi iringa,idara ya sekondari awe anatoka bagamoyo,kibaha,mkuranga. Tuwasiliane.
Njoo Dodoma manispaa nikuje Arusha au Mwanza. Ni-pm.