Masele Joe
Member
- Sep 8, 2013
- 45
- 4
nimepata mtu wa kubadilishana nae nilianza process nikaandka barua kwenda kwa afisa elimu kaniambia haiwezekan bcoz mmejaza mkataba ko mpaka miaka 3, je! kuna watu wamefanikiwa kwel kuhama? na wamefanyeje had wamefanikiwa? naomba mwongozo plz cantact 0789624998
Huyo afsa amekubania tu.Mbona hapa kwetu kuna mtu kahamia kutoka nje ya mkoa kwa kubadilishana na ameajiliwa mwaka jana tu!!?.