WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nko mang'ola karatu idara ya msingi natafuta wakubadilishana nae awe mkoani mwanza wilaya yeyote isipokua ukerewe mawasiliano ni 0754039566/0766078347 nicheki
 
Yupo Ukerewe-Nansio mjini.Idara ya SEC.Anatafuta wa kubadilishana nae toka
1.Dodoma.
2.Morogoro.
3.Pwani.
4.Iringa.
5.Mbeya na Tanga.
0767 969292.
 
Njoo iringa kilolo mi nije mkuranga,temeke,pwani,bagamoyo kisalawe au ilala. Mazngra mazur,vyakula,umeme,maji, lami na mitandao yote inapatkana. Kwa mawasliano piga 0759282829 au 0766216814..
Kama kuna vyote hivyo kwanini unataka kuhama?
 
Nipo mbinga Ruvuma idara ya sekondar nahitaji mwalimu wa kubadilishana kutoka singida manispaa.nichek 0765070911
 
mwalimu anayetaka kuja dodoma mjini , mimi nataka kuja manispaa ya yoyote jijinii Dar es salaam
 
Mwl NDIMBO idara sec yupo GEITA anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha KILOMBE au MOROGORO (V)
na 0756231236/
0765081246/0655109593/0757192487
 
Mwl idara sec yupo Tanga-bumbuli mjn anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha singida mjn,dodoma chamwino,kibaha mjn ama kilombero na ifakara.
Na 0756231236/0754019683
 
Walimu wenzangu poleni na majukumu bado nawashauri sana msikate tamaa na pia nawaasa msitoe rushwa kwa namna yoyote juu ya uhamisho tumia njia hii WEKA TANGAZO LAKO HAPA JF nakama umepata wa kubadilisha nae na hujui utaratibu au unahitaji ushauri hauwezi kuweka tangazo tupo walimu wenzako tuliofanikiwa kupitia JF wasiliana na mimi kwa wema nipo radhi kukusaidia ndugu.
Na 0756231236/0719184787/0689270867
walimu 2we na umoja wa kuwasaidia wenzetu kila m2 akafanye kazi mahali anapo pena.
 
Back
Top Bottom