WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl grace yupo tabora manispa idara sec anatatafuta wa kubadilishana nae kutoka kutoka sumba wanga manispaa.
Na 0782578408
 
Mwl DORISS yupo wilaya ya SIKONGE mkoa wa tabora anatafuta mwl wakubadilishana nae kutoka ARUSHA wilaya yoyote.
Na 0756231236
0763843259
 
Njoo iramba singida idara ya secondary mimi nije arusha dc, karatu au Meru, nitafute kwa 0785322221
 
Mwalimu H MSANGI wa idara ya SEKONDARI yupo ktk wilaya ya IGUNGA-TABORA,Anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka ktk wilaya yoyote kati ya hizi zifuatazo;TANGA,KOROGWE,LUSHOTO,MUHEZA,ILALA,KINONDONI,TEMEKE,MKURANGA,KIBAHA Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753-688769 AU 0687899450
 
njoo halmashauri ya wilaya ya njombe nije mbeya vijijini,mbeya jiji,rungwe,busokelo,momba,kyela,chunya mjini, na mbozi-idara secondari.-piga 0765432283
 
mr majura wa Mtwara anatafuta wa kubadilishana nae kutoka Iringa, morogoro au pwani. mawasiliano 0684224478
 
Natafuta mwl wa sekondari atoke kasulu ahamie bariadi mjini nami nihamie kasulu. Mawasiliano . 0769109775. Au nitumie msg . Baruma jr
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

mwalimu yupo Califonia USA. Anataka kubadilishana na mtu aliepo tanzania arusha
 
Mwl JAFARI idara SEC yupo MUSOMA MJN anahitaji mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha TANGA,PWANI,DODOMA au MOROGORO POPOTE.
Na 0756231236
0683615536/0759408720 karibu tunze michakato.
 
Mwl VAILETH idara msingi yupo MAGUGU BABATI anatafuta mwl mwenzake wa kubadilisha nae kutoka KIGOMA.
Na 0756231236/076855771
 
mwalimu yupo chunya mjini-mbeya anatafuta mtu wa kubadilishana nae tabora mjini au wilaya ya uyui.
mawasiliano 0715237538 or 0762984278
 
Mwalimu idara ya msingi niko Morogoro, natafuta Mwl. mwenzangu aliyeko Dar wilaya yoyote au Kibaha mji tuweze kubadirishana kituo cha kazi. Kwa mawasiliano zaidi: 0754346099
 
anaetaka kuja bunda_mara.{idara sec.} mi nije iringa au njombe wilaya yoyote.
+255785914538
 
Back
Top Bottom