WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

mwl alic mwakalundwe idara ya msing nahtaj kubadilishana kutoka sumbawanga kwenda iringa,morogoro,dodoma na tanga 0768858360
 
Wanaotaka kuja kigoma mjini Secondary mie niende Iringa,Mbeya,Morogoro wanicheck kwa 0765333547
 
waugwana anaetaka kuja musoma
idara y msingi tuwasiliane hpa
0756970201/0716293590
 
Kwa anaetaka kuja Chamwino dodoma toka Manyoni, Gairo. Moro manispaa. Idara ya sekondari
 
mwalimu yupo chunya mjini-mbeya anatafuta mtu wa kubadilishana nae tabora mjini au wilaya ya uyui.mawasiliano 0715237538 or 0762984278
 
Njo arusha mi nije njombe iringa songea na mbeya.sec contact me 0788628489
 
Teachers last time....baada ya hapa najihamisha mwenyewe
anaetaka kuja Dodoma manispaa mi nihamie Dar tu
tuwailiane
 
Njoo wilaya ya kyela mkoa wa mbeya mimi nije wilaya ya kilindi mkoa wa tanga anayetaka tuwasiliane 0768049294. Idara ya elimu msingi
 
Back
Top Bottom