Issa Daudi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 289
- 20
Jamani wa babati mje kasulu nataka kuhamia babati
mwl njoo shinyanga mjini shule ya old shinyanga mm nije hapo tanga,dar,moro au pwani
naomba no yako mi nnahitaji hiyo nafasi.Nafundisha wilaya ya Mwanga idara ya Sekondari, nahitaji kubadirishana na mwalimu kutoka wilaya ya Bagamoyo. Naomba mwenye uhitaji ani PM.
Idara sec,anayetaka kuja Kinondoni manispaa nije Moshi Mjini.pm