Teh marahaba mwanafunzi wangu...shkaaaaaamoooooo mwaaaaalim!
kwa nini upate shida,tufunge ndoa uhamie dar kiulaini!usihofu baada ya ndoa hatujuani ila vyeti nitakaa navyo mimi!!Mwalimu idara ya sekondari, ambae yupo tayari
naomba tubadilishane vituko vya kazi aje Dodoma manispaa mi nihamie Dar es salaam
naomba tuwasiliane tafadhali
ahsanteni
Mi sitaki mashart bana mwisho utake na kunizalisha bure, nataka mwalimu wa kubadilishana tukwa nini upate shida,tufunge ndoa uhamie dar kiulaini!usihofu baada ya ndoa hatujuani ila vyeti nitakaa navyo mimi!!
Msaada tafadhali wana jamii wenzangu. Idara ya sec. anayeweza kunisaidia jinsi ya kuandika barua kwenda tamisemi ddm na pamoja na box la tamisemi. Kuna mtu wa tamisemi amenambia niandke nimplekee.
NATAFTA MWALIMU WA SEKONDARI WA KUJA BARIADI MJI NAMI KWENDA IRINGA,MOROGORO NA MBEYA. MAWASILIANO 0768111628 au 0769109775
kumbe kweli umedhamiria...........
nichek hapa broo 0757378561Wadua aliyeko Karatu anataka kuja Mkuranga acheck na mie....
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Ndio nipo serious....usinambie ulidhani nazingua
Usinihukumu kaka. Mimi ndo natafuta WA kuja bariadi mi niende kasulu. Kama upon tayari Sema namiMbona hueleweki. Mara unataka kwenda kasulu. Sasa umwbadilika kama kinyonga unataka kwenda morogoro, iringa na mbeya . Unatuchanganya. Simama kwenye msimamo 1.
Usinihukumu kaka. Mid natafuta WA kuja bariadi mi niende kasulu. Kama upon tayari Selma nami
Pia Luna mwalim mwingine nimemrushia tangazo ndo Huyo anataka Moro.mbeya name iringa il I Stoke bariadi.