WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anaye taka kuja mwanza wilaya ya sengerema na wilaya yoyote dar! Anaweza kufanya mawasuliano
 
Njoo KASULU,KIGOMA ndugu yangu aje Lindi,Mtwara na Pwani. Kama upo tayali nicheki tuanze mchakato 0767069049/0713069049
 
Njoo KASULU KIGOMA ndugu yangu aje LINDI, MTWARA NA PWANI kama upo tayali nicheki tuanze mchakato 0767069049/0713069049.idara secondary
 
Mwl.idara sec natafuta mwl aje geita mm nije njombe,moro,iringa,ama mbeya. Alye tayar tuwasliane kwa 0762315784 ama 0682785674
 
Njoo NewAla Mtwara nije Dar,Moro mjini,Kibaha au Bagamoyo..
Ni pm
 
Mwalimu anayehitaji kuja TANGA JIJI toka IRINGA MANISPAA idara ya sekondari tuwasiliane haraka
 
Back
Top Bottom