WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

nipo masasi natafuta mwalm wa kubadilshana nae aliepo arusha o kilimanjaro
 
Mimi Mwl. IIIA nipo Nachingwea-Lindi natafuta mwl wa kubadilishana naye kutoka h/w ya mji/manispaa yeyote 0712277195
 
Kuna mwl, mcng yupo lushoto anataka aende masasi mjini kwa aliye tayari anipm
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
mimi mwl idara ya msingi nipo katavi-mpanda natafuta mwl wa kubadirishana nae aliyeko manispaa yeyote iliyopo jijin dar, pwan,moro mjin au wilaya yeyote iliyopo mkoa wa mbeya
 
Nipo Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na Mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji ani PM namba yake ili tuwasiliane
 
Nipo Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji ani PM ili tuwasiliane
 
mm mwalimu idara ya sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje Ruvuma Namtumbo na mm niende mbeya, iringa na morogoro alietayari ani pm
 
Back
Top Bottom