WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara sekondari yeye aje mwanza magu mimi nirudi mbeya wilaya yoyote ile
 
Walimu walioko mkoa wa tanga ambao kwao ni tabora wani pm tuongee kuna ya msingi
 
NIPO MWANZA- MAGU- NYANGUGE IDARA YA MSINGI NATAKA KWENDA MORO MJINI, PIA UNAWEZA KU-GOOGLE UTAJIONEA! TUWASILIANE KWA EMAIL [email protected] au 0713308372 nawasilisha.
 
Habri zenu ndg,
kuna mwalimu yupo TANGA JIJI,
na anatafuta mtu wa kubadilishana nae awe anatoka IRINGA MANISAPAA, anahitaj kurudi kwao IRINGA. kwa mawasiliano zaidi fanya kucheki nae hapa(0769303093/0717303093)
kazi njema ndg
 
Mwanza ukerewe idara ya sekondari nataka kwenda PWANI DSM TANGA NA MOROGORO 0719388025
 
nyie walimu hebu tulieni ndio maana watoto wetu wanafeli kwa sababu mawazo yenu ni kubadilishana vituo tu

watoto wenu wanakula pemba ndo mana ubongoni kuna minyoo kibao wataelewa kweli? Zamani: Ngano+ulezi+soya+karanga=kichwa. Sasahivi; pemba+soda+mayai ya kisasa+chips=boga tu! Pole ndg
 
Back
Top Bottom