WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo Njombe mji idara ya sekondari nahitaji mwalimu wa kubadilishana toka Mbeya Jiji aliyetayari ani PM.
 
njooo kagera kyelwa nije mbeya iringa moro ruvuma njombe idara ya sekondari 0765960075
 
Wapendwa mie ni mwl. idara msing natafuta mwl. wa kubadilishana nae toka mikoa ya mbeya, mtwara kuja LUDEWA kama unapenda na unaifahamu ludewa nipo luana p/s 0753884902
 
za saa hiz walimu wenzangu, jaman nauliza hivi kuna uwezekano wa walimu kupangiwa vituo vipya hivi karibuni ?? hususan kwa waliokosa awamu ya kwanza??
 
Back
Top Bottom