WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

idara msingi huyu ni
Mwalim kutoka mkoa mwanza-sengelema anatafuta wa kubadilishina nae kutoka mikoa ya pwani(kisarawe,rufiji,mkuranga,kibaha, bagamoyo) , na dar es salam.
NI PM nkuunganishe naye.
 
nipo bk natafuta wa kubadilishana nae toka Moro wilaya zote, pwan wilaya zote au Dar wilaya zote nipo idara ya sec, 0653542331
 
Rafiki yangu yupo HANDENI idara ya msingi anatafuta wa kumbadilishia kituo aende MOROGORO
 
Rafiki yangu anatafuta mtu wa kubadilishana nae.Nenda USHETU KAHAMA yeye aje Mkalama SINGIDA.Idara elimu msingi.Pga au bp nikuunganishe.
0684 71 18 18.
 
Rafiki yangu mwingine yupo uyuwi-Tabora anataka kwenda Tanga popote aliye tayar niwaunganishe. pg au bp 0684711818.
 
Anayetaka kufanya kaz wilaya ya kasulu kutoka babat,kahama,geita,singida,korogwe,handen na dodoma .idara ya sec
 
Anayehitaji kuja Wilaya mpya ya Gairo kutoka Morogoro Manispaa/Iringa Minispaa IDARA SEKONDARI anichk kwa 0762014861..!
 
Kwa mwendo huu wa kulazimisha walimu kukaa maeneo wasivutiwa au mbali na familia zao kunasabanisha mambo mengi. Ikiwemo kuvunjika kwa ndoa nyingi. Na wanafunzi kutopata kile wanacho kistahili, kwani walimu wanatumia muda mwingi kufikiria jinsi ya kuhama na namna ya kumudu maisha kwa familia zilizotenganishwa na kazi.
 
Tunaiomba serikali itutoe TAMISEMI kwani nishida tu. Uhamisho ni shida bora kubaki wizara ya elimu. Inakuwaje walimu wanakuwa chini ya wizara zaidi ya tatu? Tunahitaji kuwa chini ya wizara mbili tu. Hizo nyingine zinatutesa tu.
 
nipo Lindi nahitaji wa kubadilishana nae mimi niende wilaya za Korogwe,Muheza,au Tanga mjn...nicheki kwny 0658001368
 
Nipo wilaya ya Mwanga Kilimanjaro. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Mkuranga. Mwenye uhitaji anitafute tuwasiliane. 0769434081
 
Nipo elimu msingi. Nahitaji kurudi nyumbani au karibia na nyumbani handeni,au korigwe.anayehitaji kuja makete mkoa wa njombe ni jirani sana na koa wa mbeya kuliko mkoani kwenyewe usafiri wa mbeya -makete na makete-ikonda-njombe muda wote nipo km 4 kutoka town huduma zote zinapatikana. Nicheki kwenye 0685252510/0682644665/0754847632/0715399977 kama bahati mbaya haziko hewani tuma sms nitakutafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…