Mwl toka Moro Manispaa aje Dodoma (Chamwino) Idara sekondary.
Mwl toka Moro Manispaa aje Dodoma (Chamwino) Idara sekondary.
Njoo Arusha mjini!!!nije Manyara hasa karatu/mbulu!!!!Ukipenda andaa tsh Milion 1 kwa ajili ya kuhamisha vifaa/mizigo yangu!!!Niko sec!!!!Naenda huko kwa shughuli zangu zingine .
Mwenye utayari pm!!!
Km uko kijijini sana utanisamehe unless ukipandisha dau tutavumiliana .